Mwanachuo forum ni website mahususi kwa sasa kwa ajili ya kupata habari mbalimbali za kitaaluma hasa katika nyanja za ajira na masomo vyuoni.kupitia forum hii inaweza pata nafasi mbalimbali za ajira zinazotangazwa kila siku ,utaweza kupata link za moja kwa moja za kujiunga na vyuo vyote nchini,utaweza kupata muongozo wa namna gani ufanye mambo vyuoni uchaguzi wa kozi mbali mbali na ushauri pamoja na kufanya malipo chuo husika .Mwanachuo forum itakukutanisha na wahitimu mbalimbali vyuo vyote vya tanzania na walio masomoni bado.lengo ni kupashana habari na kushare ujuzi mbalimbali pamoja na fursa zinazojitokeaza kila siku .kua wakwanza kufaidika na fursa hizi kwa kutembelea http://www.mwanachuo.net
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TCU: HELWAN UNIVERSITY SCHOLARSHIP CALL FOR APPLICATION FOR THE ACADEMIC YEAR 20
1.0 Call for Application Applications are invited from qualified Tanzanians for 7 scholarships (5 for Undergraduate, 1 for Masters an...
-
KUELEKEA FAINALI YA LEO UKRAINE…RONALDO AGOMA KUFANANISHWA NA SALAH NANI KUIBEBA TIMU YAKE LEO MAJIBU YOTE SAA 09.45
-
Habari hii isikupite inahusu vijana wote wa kitanzania hasa wana chuo na waliokwisha maliza tunakusogezea karibu yako forum mpya ya m...
-
Ile filamu ya Black Panther iliyosubiriwa kwa hamu imeachiwa rasmi leo hii clean HD version nimekuwekea chini hapa uweze kuidownload kwa ur...

No comments:
Post a Comment
please comment wisely