Habari hii isikupite inahusu vijana wote wa kitanzania hasa wana chuo na waliokwisha maliza tunakusogezea karibu yako forum mpya ya mwanachuo forum inayopatikana kupitia google search ingine yako kuanzia sasa.unachoweza kufanya ni kuitafuta kwa kuandika neno mwanachuo.net or mwanachuo forum itakupeleka moja kwa moja kwenye forum hii sharti uwe mwanachuo unaendelea na masomo uliemaliza ama unaetarajia kujiunga na masomo yoyote chuoni.
lengo la forum hii ni kuwakutanisha wahitimu wa vyuo vyote tanzania ili kwa pamoja waweze kushare habari mbalimbali za kitaaluma ajira na ujasiliamali ,sanaa na michezo mbalimbali.Ndani ya forum hii utaweza kukutana na walio vyuoni makazini mtaani na wanaotarajia kujiunga ili kwa pamoja tuweze kushare ideas mbalimbali na kupambana na changamoto zinazotukabili.pia tutaweza kushare uzoefu na habari mbalimbali zinazoendelea vyuoni mwetu kwa pamoja.utapata wasaa wa kujua kozi unayosoma inamaeneo gani ya fursa ya ajira yako namna gani ya kuomba ajira kipi ufanye kujiweka ktk mazingira mazuri ya kuajiriwa na jinsi unavyoweza kupata maeneo ,mbalimbali ya kujitolea kujiongezea ujuzi kulingana na taaluma yako husika,Hapa utaweza kukutana na watu mbalimbali kutoka mikoa na vyuo tofauti na watakueleza fursa na maeneo yanayopatikana yanaendana vipi na taaluma yako.pia itakupa nafasi ya kupata ushauri wa kufahamu taaluma mbalimbali zitolewazo nchini na yapi maeneo yake ya kazi hii itakusaidia kufanya uchambuzi sahihi ni taaluma ipi uchukue hasa kwa waliomtaani wakisubiri kuomba vyuo mbalimbali.Mbali na hapo utaweza kupata documents mbalimbali za taaluma husika books ,notes,papers,na mitihani tofauti tofauti kadri ya mahitaji ya taaluma yako.Muda ni sasa nawakaribisha watanzania wenzangu ktk forum hii .
By Fundi C.E.O Mwanachuo forum
AHSANTENI
