Saturday, 26 May 2018

Thursday, 3 May 2018

BLACK PANTHER OFFICIAL HD CLEAN VERSION IS OUT NOW

Ile filamu ya Black Panther iliyosubiriwa kwa hamu imeachiwa rasmi leo hii clean HD version nimekuwekea chini hapa uweze kuidownload kwa urahisi kabisa na uwe wakwanza kuitizama usingoje kusimuliwa unachotakiwa kufanya ni kua na file la utorrent kwenye simu ama laptop yako.



                                      

NUSU FAINALI YA PILI YA UEFA IMEMALIZIKA

 Ni Madrid vs Liverpool fainali ya UEFA tar 26 May .Hii ni baada ya Liverpool kuwatoa AS Roma kwa tofauti ya magoli.


Wednesday, 2 May 2018

TITANIC BEST MOVIE OF ALL TIME



Leo nikurudishe nyuma kidogo wanasema vyakale dhahabu filamu hii inastori nzuri na yakupendeza inshaallah tutaisimulia siku zijazo ukiipenda sio vibaya kuipitia maana wengi tumeiona tukiwa wadogo.

NUSU FAINALI YA PILI YA UEFA KUPIGWA TENA LEO HII

AS Roma v. Liverpool inapigwa Saa 21:45 hii Leo...Aggregate ni Roma 2-5 Liverpool.


Tuesday, 1 May 2018

NUSU FAINALI YA KWANZA IMEMALIZIKA.

Real Madrid yatinga Fainali UEFA...mechi imeisha 2-2, mechi ya awali walishinda 2-1.


ULIMWENGU WA MOVIES



Karibu katika kurasa yetu ya ulimwengu wa filamu.leo nataka niwasaidie baadhi ya watuambao wanapata shida na wanashindwa kudownload movies series wazipendazo kupitia simu na komputa zao.hii ni kutokana na kutokujua ni website gani waingie na kupata movies kirahisi bila kulipia.kuna kitu tunakiita Torrent.Torrent ni app ambayo inakuwezesha kudownload movies na series mbalimbali uzitakazo.unachotakiwa kufanya mambo yafuatayo.
1.Download app ya utorrent kenye computer ama simu yako kisha fanya instalation ya app hiyo.
2.Ukishakua na app ya utorrent sasa waweza kudownload movies zako kupitia site ntakazozitaja hapa chini kwa kuingia kwenye google seach engine yako na kuandika moja wapo ya torrent site hizi na itakupeleka moja kwa moja kwenye kurasa za movies na utaweza kutafuta na kudownload movies uipendayo bila gharama yeyote.ufafanuzi ujao ntazungumzia unazitumiaje site hizi ili uweze download movies zako buree kabisa.
Hizi hapa ni best torrent site zinazoshika kumi bora kwa sasa unazoweza zitumia kudownload kirahisi.
1. THE PIRATE BAY

2. RARBG

3. 1337X       

4. TORRENTZ2

5. YTS.AG

6. EZTV.AG

7. LIMETORRENTS

8. NYAA.SI

9. TORRENTS.ME

10. ZOOQLE

10.1 IDOPE


TCU: HELWAN UNIVERSITY SCHOLARSHIP CALL FOR APPLICATION FOR THE ACADEMIC YEAR 20

1.0 Call for Application Applications are invited from qualified Tanzanians for 7 scholarships (5 for Undergraduate, 1 for Masters an...