Tuesday, 1 May 2018

ULIMWENGU WA MOVIES



Karibu katika kurasa yetu ya ulimwengu wa filamu.leo nataka niwasaidie baadhi ya watuambao wanapata shida na wanashindwa kudownload movies series wazipendazo kupitia simu na komputa zao.hii ni kutokana na kutokujua ni website gani waingie na kupata movies kirahisi bila kulipia.kuna kitu tunakiita Torrent.Torrent ni app ambayo inakuwezesha kudownload movies na series mbalimbali uzitakazo.unachotakiwa kufanya mambo yafuatayo.
1.Download app ya utorrent kenye computer ama simu yako kisha fanya instalation ya app hiyo.
2.Ukishakua na app ya utorrent sasa waweza kudownload movies zako kupitia site ntakazozitaja hapa chini kwa kuingia kwenye google seach engine yako na kuandika moja wapo ya torrent site hizi na itakupeleka moja kwa moja kwenye kurasa za movies na utaweza kutafuta na kudownload movies uipendayo bila gharama yeyote.ufafanuzi ujao ntazungumzia unazitumiaje site hizi ili uweze download movies zako buree kabisa.
Hizi hapa ni best torrent site zinazoshika kumi bora kwa sasa unazoweza zitumia kudownload kirahisi.
1. THE PIRATE BAY

2. RARBG

3. 1337X       

4. TORRENTZ2

5. YTS.AG

6. EZTV.AG

7. LIMETORRENTS

8. NYAA.SI

9. TORRENTS.ME

10. ZOOQLE

10.1 IDOPE


No comments:

Post a Comment

please comment wisely

TCU: HELWAN UNIVERSITY SCHOLARSHIP CALL FOR APPLICATION FOR THE ACADEMIC YEAR 20

1.0 Call for Application Applications are invited from qualified Tanzanians for 7 scholarships (5 for Undergraduate, 1 for Masters an...