FT: SIMBA 1-0 YANGA, KUTOKA UWANJA WA TAIFA mnyama aunguruma.
SIMBA wanaibuka kidedea na kujikita kileleni kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu ya vodacom kwa kupata alama 3 muhimu kwa goli lililofungwa na Erasto Nyoni dakika ya 37 ya kipindi cha kwanza.






No comments:
Post a Comment
please comment wisely